Watumiaji wa nchini Chini wanahitaji kuchukua hatua chache za kudhibiti Great Firewall na kujiunganisha katika mtandao wa Tor.

Kupata toleo lililosasishwa la Tor Browser, Jaribu mtandao wa Telegram kwanza: @gettor_bot. Ikiwa haifanyi kazi, unaweza kutuma barua pepe katika gettor@torproject.org kikiwa na kichwa cha habari "windows", "macos", au "linux" kutokana na mfumo wa uendeshaji husika.

Baada ya kusanikisha, Tor Browser itajaribu kuunganisha katika mtandao wa Tor. Ikiwa Tor imedhibitiwa eneo lako, Connection Assist itajaribu kuunganishwa otomatiki kwa kutumia bridge au Snowflake. Lakini kama haitafanya kazi, hatua ya pili itaweza kupata bridge inayofanya kazi nchini China.

There are following options to unblock Tor in China:

  1. WebTunnel: makes the traffic look like a regular HTTPS connection to a webpage server giving the impression that the user is simply browsing the web. To obtain WebTunnel bridges, visit our bridges website. From the "Advanced options" select "WebTunnel", from the dropdown, as the pluggable transport. Then click on "Get Bridges". Support for WebTunnel bridges is only available on Tor Browser for Desktop and Android.
  2. Snowflake: hutumia ephemeral proxies kuunganishwa kwenye mtandao wa Tor. Inapatikana katika Tor Browser na Tor programu nyingine zinazoendeshwa kama Orbot. Unaweza kuchagua Snowflake kutoka Tor Browser's built-in bridge menu.
  3. Private and unlisted obfs4 bridges: huwasiliana na Telegram @GetBridgesBot and type /bridges. Au tuma barua pepe kwendafrontdesk@torproject.org ikiwa na maneno "private bridge cn" katika kichwa cha habari. Kama wewe tech-savvy, unaweza kuendesha obfs4 bridge yetu nje ya nchi ya China. Remember that obfs4 bridges distributed from the Tor bridges website, and built-in obfs4 bridges bundled in Tor Browser most likely won't work.
  4. meek-azure: makes it look like you are browsing a website instead of using Tor. Hata hivyo, kwa sababu ina kizuizi cha kiwango cha mwisho, chaguo hili litakuwa taratibu. Unaweza kuchagua meek-azure kutoka Tor Browser's built-in bridges dropdown.

For obfs4 or WebTunnel bridges obtained via email or from the Bridges website, follow instructions on the Tor Browser User Manual to enter the bridge addresses in Tor Browser.

Ikiwa moja ya machaguo haya juu hayafanyi kazi, angalia Tor logs yako na jaribu chaguo lingine. If you need help, you can contact our support team on Telegram Tor Project Support and Signal.